LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

CHEKI

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Cheki natema mistari ni ka niko wada ju vile naroga
Cheki napiga marashi na luku ni safi ni ka nimeoga
Cheki aliteka ule manzi na ju tu ni gwangi ilibidi ametokwa
Cheki nasaka tu ganji na ndoto ni jamo bado kuomoka

Cheki joh fika umoja mamba ni moja manganya ni noma
Mabitch niggas wakizoza si tuko mboka ni kama madonga
Ride beat kama honda ganji nashika ni kama tu donda
Mapunchline kila kona kila mistari deliver na order
Beef zii we ni mzoga mbona tubishane na sinanga rival
Mc toka umoja najitambua sihitaji matitle
Big dreams kuomoka chora mistari sikuangi tu idle
Drug free kuokoka headi lazima ju inakuanga vital
Ngati kutoboka pigwa kitisa ukitishiwa na rifle
Chungli na mogoka kila wikendi na mbogi ni ital
Senke nikisonga sina ferare lazima kucycle
Spit bars nikihustle adi masenior wananiita idol
Ngoko ayela na me n fathela nakuta akunanga visanga
Ngoko amebeba maturi mahag ni ka anatakanga kuhama
Ngoko anachoma anaseti anakata na bado anakuanga kijaba
Cheki ule ngoko na cheki ule nguna ukidishi lazima kuzama

Cheki natema mistari ni ka niko wada ju vile naroga
Cheki napiga marashi na luku ni safi ni ka nimeoga
Cheki aliteka ule manzi na ju tu ni gwangi ilibidi ametokwa
Cheki nasaka tu ganji na ndoto ni jamo bado kuomoka
Cheki natema mistari ni ka niko wada ju vile naroga
Cheki napiga marashi na luku ni safi ni ka nimeoga
Cheki aliteka ule manzi na ju tu ni gwangi ilibidi ametokwa
Cheki nasaka tu ganji na ndoto ni jamo bado kuomoka

Kama ni ngori nakuja na mbogi na mbogi inakutoka pori
Kama ni ngori nakuokota headi na pia nakupiga masoki
Utamu ya kuku ni ngozi ka hukuli nyama unapikiwa sossi
Dere wa trailer na lorry maisha ya kusaka haijaikua rosy
Ngware naamkanga kuomba biz ikijipa napatanga orders
Manjege walichoka kutokwa shoot to kill ndo inakuanga tu order
Na bibi ametulianga ocha uku Nairobi amechoka kusota
Na junior anapendanga soda sa nikirudi lazima kafanta
Sety manatty marasta bado mali me hutoanga kwa mapastor
Jamaa alijionanga gangster saa ya mazishi ilikuwanga disaster
Kila kona ni visanga usiku ilifika ni disco matanga
Nguo tight ilimbana cheki ayela amejaza mahaga
Machingri kwa shingo mangoto kwa mkono na tattoo zimejaza uso
Ka hunyongi ni sawa mapenzi ni dawa lakini unakulanga kuro
Kwa mbogi amegawa mangati mafala sa usione umetekanga tuzo
Na doba ni sawa ka nare nawaka nazungusha ni kama ludo

Cheki natema mistari ni ka niko wada ju vile naroga
Cheki napiga marashi na luku ni safi ni ka nimeoga
Cheki aliteka ule manzi na ju tu ni gwangi ilibidi ametokwa
Cheki nasaka tu ganji na ndoto ni jamo bado kuomoka
Cheki natema mistari ni ka niko wada ju vile naroga
Cheki napiga marashi na luku ni safi ni ka nimeoga
Cheki aliteka ule manzi na ju tu ni gwangi ilibidi ametokwa
Cheki nasaka tu ganji na ndoto ni jamo bado kuomoka

Ata sijali ju ya industry chenye nadai ni hyo pesa
Ngeus amesema ako free leo boyz ameingia kalesa
Baby girl nimeloose sleep ju ya vile ameweza
Akuna kumedi buda niko shughuli nakimbiza ganji today
Najaribu kumake a play
Anajua ye ndo supper today
Sa naisha na imani inahusu doh rada ni gani
Usibonge feyo ngare
Usibonge fear hiyo mbare
Ameingia na mandege kwa scene mbele ya mic ready to kill
Wanajua ill do it again usicheze na doh this aint a game
Got no sauce nigga you plain for the ganji im insane
We ni mbleina we know you're a lame
For the money dont do it for fame
Good girl i dont like whores
Be selective with your pipe bro
Ps thats a side note
on my land im a flyboi
Loose screws im a psycho
Zimeshika im alright
Out of sight out of mind
You trynna fight im trynna fire

Cheki natema mistari ni ka niko wada ju vile naroga
Cheki napiga marashi na luku ni safi ni ka nimeoga
Cheki aliteka ule manzi na ju tu ni gwangi ilibidi ametokwa
Cheki nasaka tu ganji na ndoto ni jamo bado kuomoka
Cheki natema mistari ni ka niko wada ju vile naroga
Cheki napiga marashi na luku ni safi ni ka nimeoga
Cheki aliteka ule manzi na ju tu ni gwangi ilibidi ametokwa
Cheki nasaka tu ganji na ndoto ni jamo bado kuomoka

WRITERS

Neville Mulama, Sammy Karuga

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share

See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Race and ethnicity