Kijamo kimewaka na namedi apa rooftop
Fresh air breeze inanipiga kwa uso
Niko healthy kitu kwa mfuko
Marashi pia kwa neck ju nachukia uvundo
Beat ya datchy inacheza kwa background
That's my nigga lazima kishout out
Melody smooth unaiskizia kwa bones
Kichwa lazima itasonga na nasema hyo without doubt
Self doubt ndo inafanya wengi wasisonge
Huezi ninyanyasa na uexpect nisibonge
In fact me ndo nachufuanga scene ndo unikome
Martha joh hananga justice enda kwa chief ndo ukamuone
Na, na umwambie umetumwa na vone
Kunielewa labda ukanisome college
Key ya success kweli unadhani ni knowledge
Ukiona watu ka sudi akili imejaza porridge
Na saa zingine mind huwonder
Ziunionyesha nirhyme and shit
Eastlando huwanga joh ni blunder
Yoh, can I talk my shit again
Hii gava inatubeba ufala sai ni vita men
Kuanzia tajiri mpaka wasee wa manduthi geng
Kila mtu tokea tuko wengi kushinda hooligans
June 25th certified holiday
Ilianza na rex wengi wakatuacha along the way
Tushawasoma izo agenda mnapropagate
Everything we want ndo zile vitu mnago against