LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nahama Dar

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Mmmh
Aah onana naaah
Oh nana naaah

Dar Kugumu kweli Marioo hakukosea ah
Na aliyesema Bongo nyoso alikua sawaah
Kutwa me napambana ila nadondokea pua
Me navavanya vavanya eeh
Najidanganya labda kwamba kesho mambo yatakua poa
Ila bado nabambanganya eeh

Sitaki kua kama shilole eti nikomae na jiji
Bora tu niwe Best Nasso nirudi kijijini

Hulalala lalala
Me hama Dar
Hulalala lalalaah
Narudi nyumbani
Hulalala lalala
Me nahama Dar es salaam
Hulalala lalalaaaah
Narudi nyumbani

Sikuja mjini kushangaa mataa na maghorofa
Jiji limenikataa najiona Lofa
Ukiniona bishoo
Mfukoni zero
Masinema nema na drama natupa kule

Nafungasha vilago mie
Narudi nyumbani mie
Majirani na marafiki kwaheeeri mh

Sitaki kua kama shilole eti nikomae na jiji
Bora tu niwe Best nasso nirudi kijijini

Hulalala lalala
Me hama Dar
Hulalala lalalaah
Narudi nyumbani
Hulalala lalala
Me hama Dar es salaam
Hulalala lalaah
Narudi nyumbani

Narudi
Nilikotokea
Narudi iiih
Narudi kuanza upya
Narudi
Am going back home
Narudi iiih
Tutaonana inshalah

Naitwa Nicoh
Nipo na Mr Kinanda
Piga Kinubi Kabayser

WRITERS

Nicholaus Mhanga

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other