Mi ni the realest kwa hii shit, uneza niita 26
Flows ni mingi tuna switch kwa kila beat
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Nataka kushika mita nihamie mitaa zile posh
Kila metre to kilomita tuna run ka burna boy
Naskia una hate place na dai mi sja fika
Bila pake ngumu ku guza vitu nme shika
Hii ni one man nmejieka adi kwa features
Beat inateta vile naikimbiza
Bitch akiteta daily unamkimbiza
For peace of mind mi hujifungia kwa giza
Nakwambia hii lifestyle ya streets
Ni ma gwangi wameshikilia lifeline
Ukimess una rushwanga kwa sidelines
Ngori next unajipata umekwa ndakas
One way, na mi na drive backwards
Tuna reverse mistakes tuli make first time
Maduya si uzi pop kama past time activities
ni mob ka niko chini na jipin nikizisaka
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Huku east life nakusho ni kubaya jo
Ju kila wikendi kuna yut ana matanga
Life ya streets haina urafiki na mbanga
Manguna ndio wanabeba ma panga
Tuko rada tuna chanua ma fala
Ukilalisha hizi sides unaguzishwa ki dagger
Trap house ni single room na tumejaza
adi hao makeki wamekalia kitanda
Caretaker anatupeleka na rada
ju kuna ratchet ye humlipa na mahaga
Kila charji anakaa mkulima ju kwa mbosho ni packe na ma tools za kuchana
Tukiwa baze tutaskiza stori za jaba
Kuna hessy alishootiwa mara saba
Ka Shauri na baha ni ma brothers
Okongo na ololo basi ni mapacha
Omnipresent niko na vako za maulana
Certified ni kama kebs wamenipanga
We ni dingo chunga usiwahi patikana
Adhabu ya dunia unaeza pata umetuwacha
Kuchanga changaa unajipata umejichanganya
Ma ngango na ma fwaka zinawashwa
Illicit drugs huku kwa slums zimenasa
42 ukizama chwom utatokwa adi trouser
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate
Mi uki ni cross ni forever hio hate
Mi uki ni cross ni ya forever hio hate