LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nafurahi

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Ey Obey
Let me sing for her
See
Gachib

Kama katotooooh
Ka paula kwa mbali
Shavuni vidipooooh
Yo Chumbani mikitooooh
Ana sound flani
Iki mkolea show oooh

Ye ndo namkubali
She so sweet acha nimuweke bayana
Tena bonge la mwali
Tabia zetu me nae zafwanana
Penzi lifike mbali
Kama bahari ye maji mie kina
Vile namkubali
Mbele yake kauli mie sina

Anafanya nafurahi
Ahhhhh aahhhh
Ooooh babe
Ahhhh ahhhhh
She make me cry
Ahhhhh ahhhhh
Oooh my love
Ahhhh ahhhhh

Haki ya Mungu sikuachi
Umenibamba
Umeniweza mpaka basi
Ume ni mudder
Nita kulinda kwa manati banaa
Kukuacha itokee nafsi labdaaa

Ye ndo namkubali
She so sweet acha nimuweke bayana
Tena bonge la mwali
Tabia zetu me nae zafwanana
Penzi lifike mbali
Kama bahari ye maji mie kina
Vile namkubali
Mbele yake kauli mie sina

Anafanya nafurahi
Ahhhhh aahhhh
Ooooh babe
Ahhhh ahhhhh
She make me cry
Ahhhhh ahhhhh
Oooh my love
Ahhhh ahhhhh

WRITERS

Seif Ally, Khaleed Pembe

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other