Toka namba nane otwech kawa kibanda
Hii ghetto ntawai toka mimi lini bana
Kenya nipate na Ford wamalwa wa kijana
Hii pikana rada ni safi sana
Hizi piranha bado tutadish unabishana
Fala bado anabonga english
Ticklish kuna rapper alidedi after deathwish
Niko mboka bizz zote mi uzichapa LinkedIn hommy
Ka ni soccer trophy zote bana ni za Livepool only
Nikishika simu rada inakuaga ni kill bill
Kajasho kanataka kunindoka siezi tema
Unashuffl unashuffle unashaffle unashuffle
Unashuffl unashuffle unashaffle Unashaflle
Unashuffl unashuffle unashaffle unashuffle
Unashuffl unashuffle unashaffle Unashaflle
Kula ma cheese burger bila napkin
Rada ma boss moves siko hustling
Shada na concours zangu classics
Classics nimekua on own lane spendi traffic
Tragic usicheki hizi picha zote zote graphic
Plastic nikiasha hizi moto wanapanic
Fasting zetu kula vako daily maskani
Nasty henny unifanya oludara kiplani
Spirit ya kiptum na ma nikey
Shingo ni Reykjavik pizzo Viking
Alileta crown zile za Pizzo De Va hii King
Unashuffl unashuffle unashaffle unashuffle
Unashuffl unashuffle unashaffle Unashaflle
Unashuffl unashuffle unashaffle unashuffle
Unashuffl unashuffle unashaffle Unashaflle