Kama unapenda yesu imba....x 2
Nimeshinda VITA x2 (vita za dunia)
Nimeshinda VISA×2 (visa vya dunia)
Mwanzoni walinikata katu katu
Shimoni wakanitupa niugue
Hadharani walinidhalilisha..
Mabaya wakaniombea yaniue
Ila Mwenyezi akanipigania
Wanarusha mangumi (mimi nina sali)
Wanarusha matusi (mimi nina sali)
Nimeshinda VITA x2 (vita za dunia)
Nimeshinda VISA×2 (visa vya dunia)
Ninawaza na roho mtakatifu...
Sina chuki na mtu yeyote.
Ninawaza na roho mtakatifu...
Sina chuki na mtu yeyote.
Vita vya waganga (Nimeshinda)
Vita vya wachawi (Nimeshinda)
Vita vya kurudishana nyuma kimaendeleo (Nimeshinda)
Hata nayo uasheratiii (Nimeshinda)
Sijachoka kutembea na Yesu..
Nimeshinda VITA x2 (vita za dunia)
Nimeshinda VISA×2 (visa vya dunia)
Kama unapenda yesu sema..(nimeshinda) x2
Kama unapenda Yesu Imba...(nimeshinda)