Siku hizi beach siendi tena,
Nyimbo zinanikumbusha wewe,
Kulala bila wewe ni sipendi,
Na nnajua sitoweza kukuona soon...,
Ukini miss nipigie, nipigie,
Rafiki zangu wananicheka,
Ni kama vile siishi tena,
Hakuna nnachofanya vyema,
Kulala bila wewe ni sipendi,
Na nnajua sitoweza kukuona soon,
Ukini miss nipigie, nipigie,
On a video, nataka nione sura yako.