Kwanini unanikumbuka tu ukishalewa,
Wanitumia meseji usipokuwa sober,
Ooh! Why!? Ooh Why!? Ooh Why!?
Mara ya mwisho tumeonana ilikua kama Christmas,
Nakumbuka ulisema am your best Christmas,
Tulikula sana bata unakumbuka
Ila nilipenda vile ulivyo come mamacita,
Kila tukionana huwa ni masham sham,
Ila nikiondoka ni kama unanisahau,
Unanikumbuka ukiwa na ma ham ham,
cma ulienae akishaleta dharau,
Ila me, you been on my mind daily,
Natamani niwe karibu yako daily
Hata kama simu zangu haushiki,
Najua utanikumbuka tu ukishalewa,
Wanitumia meseji usipokuwa sober,
Ooh! Why!? Ooh Why!? Ooh Why!?
I know you been sippin' some
I know you been smoking some
I know you been wanting some
Umeshalewa, mi napenda ukishalewa
Nipe ile sauti yako tena,
Kwanini unanikumbuka tu ukishalewa,
Wanitumia meseji usipokuwa sober,
Ooh! Why!? Ooh Why!? Ooh Why!?