Niko busy na plan za kikubwa
Ndo maana sionekani mkubwa
Hii game ina ushindani mkubwa
Mafanikio toka kwa manani mkubwa
Ukiwa na wivu vaa miwani mkubwa
I mean it sio utani mkubwa
Nilipotoka siwezi ku-return mkubwa
Cruz kama tupo miami mkubwa
Tukivaa chain ujue mzani mkubwa
Vyuma vimejipanga uwani mkubwa
Sijui ata niendeshe gari gani mkubwa
Round hii plan hii nishike million dollars
Nilipotoka mimi hajawahi toka fara
Round hii plan hii nishike million dollars
Nilipotoka mimi hajawahi toka fara
Round hii plan hiii plan hiii
Kama haihusu pesa usini-call
Mambo mengine muda hautoshi
Tunakimbizana daily kusaka doo
Nikipata muda nautenga kwa my guy, my family, my friends
Mwambieni mama angu niko busy kinoma
Ndo maana umepita mwezi mzima nyumbani hajaniona
Sili bata me na hustle nipate pochi ilio nona
Niwe sina niwe nacho nyumbani chochote natuma
Nipo busy natafuta masnitch nao wapo busy kunishusha
Na bado nawakimbiza wanajuta
Mahali nilipo hawawezi kunikuta
Nipo busy kimziki niweze toka
Nisimame wima na nisije kudondoka
Hizi ni facts siwezi kuropoka
Usipo nikuta kino basi ujue nipo pande flani za kariakoo
Iwe mchana jioni usiku am chasing the paper natafuta doo
Na kila ninapopata kidogo inanipa moto nitafute more
Lengo nije kua zaidi ya rapper niwe tajiri kama dewji moe
Sorry baby I knw its your birthday ila leo siwezi tokea
Lakini tatuma ka-pesa flani ili na wenzako muweze sherekea
Ni future yetu ndo hangaikia
Kama haihusu pesa usini-call
Mambo mengine muda hautoshi
Tunakimbizana daily kusaka doo
Nikipata muda nautenga kwa my guy, my family, my friends
WRITERS
Justin John Mhagachi (Gachi B), Jaffar Msham Ally, William Nicholaus Lyimo, Elnassir Kondo, Otuck William