Joto uturi kupaka vidole hina
Visato sato na papa kwenye jiko la mchina
Aaah kigori matata mtamu mwili mzima
Chumban hunipoza joto kwa vinakshi nakshi vya kihindi
Cha mkwezi kimoko moko nikiweka bao la ushindi
Poleni nyiviropo ropo penzi langu la rangi nyingi aah
Ni fundi wa kudeka deka kudengua
Jicho limerepeta kurembua
Ng'ari ng'ari Masha Allah
Ah fundi kupekecha pekechua
Nipe penzi waonee (mubashara)
Mahasidi wasonone (mubashara)
Ukiwashwa nikukukune (mubashara)
Mndele fungua kisima nami kata iko tayari
Jivune umepata shababi yallah
Ya shababi yallah yallaaaaaah
Wendo ndo ua langu waridi (Habibi)
Napo pungua unazidi (Habibi) Yaah Habibi