I would like to introduce
Your love is so infectious
You love is so infectious, mon bébé
Your love is so infectious
Upendo wetu mimi na wewe bébé
Ni kama kitabu kilichoandikwa
Na washairi wa mapenzi, eh
Umenirushia haiba ya mapenzi, eh
Sielewi na siji fahamu mimi, eh
Nautamani bila mwisho, oh oh oh oh
Upendo wetu, mimi na wewe bébé yo
Ni kama kitabu kilicho andikwa
Na washairi wa mapenzi, eh
(Na sielewi, oh oh) nakupenda bila mwisho, eh
Nakupenda bila mwisho, eh
Hauna mwisho, eh eh eh eh eh
Sijuwi kama nita choka kukupenda
Sababu upendo ume nipa niwa ajabu
Si juwi kama nita choka kukupenda, ah eh
Ume nipenda bila kunidahi sababu, eh
Your love is so infectious
Eh (infectious) eh oh oh oh
Ni mimi na wewe mpenzi wangu
Kama pete inavyozunguka kidole
Kama pete inavyozunguka kidole
Oh oh oh oh bila mwisho, eh