Msama ndiyo uwe mbele (mbele)
Msamaauwe kati yetu (kati yetu)
Msama ndiyo uwe mbele (mbele)
Msamaa uwe kati yetu (kati yetu)
Tuko wana damu (wana damu)
Na hi ndio uzaifu tunao sisi
Kama wana damu (wana damu)
Niki kukosea mpenzi wangu
Naomba uni samehe (ni samee)
Niki kukosea mpenzi wangu
Naomba uni samehe (ni samee)
Niki kuumiza mpenzi wangu
Naomba uni samehe (ni samee)
Sijuwi nini linalo ni fanya mimi
Ili niku umize (ni samee)
Sijuwi nini linalo ni fanya mimi
Niki kukosea mpenzi wangu
Naomba uni samehe (ni samee)
Msama ndiyo uwe mbele (oh oh)
Msamaa uwe kati yetu (oh oh oh)
Tusamehe-ane (yea yea yeah)