Nishakupenda nishapumbazwa
Nilishamezwa nilishatekwa
Nataka dunia isikie nakupenda we
Lazima baba na mama leo wanijue
Nataka dunia isikie nakupenda we
Lazima baba na mama leo wanijue
Niende niende niende, Niende
Niende Kisumu mama niende, niende
Niende kwa mashemeji mama niende, Niende
Niende niende niende, Niende
Niende niende niende, Niende
Niende Kisumu mama niende, niende
Niende kwa mashemeji mama niende, Niende
Niende niende niende, Niende