Tumeshikilia, tumeng'ang'ania
Vita tumepigania, tumevumilia
Mpenzi ni wewe chaguo la moyo wangu
Bado ni wewe tulizo la nafsi yangu ooh
Ata wakate Na kutuchongea
Milima mabonde tushashinda
Penzi letu nawe, haiwezi kalinganishwa
Mpenzi ni wewe chaguo la moyo wangu
Bado ni wewe tulizo la nafsi yangu ooh