Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
for me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
for me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
First of all, Mi ndio nimetop food chain ofcourse>
Without any further ado washaajua mi ndo their king and Boss,,
you better look both ways ka unafikiria kuni-cross
but on caution mih si zebra so avoid>
Cheki Am trying to make a move,
Den ya Kwenyu mi ni Bad news
unaniona stage unaanza shuu
bro am not a cat you fool
Wanauliza nmepotea sana nmekuwa undercover
info's very fragile bana siezi gawa>
Ni lazima Ukuwe carnivorous ndio uingie kwa chama>
Simba amefika mjini cheki
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
for me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
for me issa double hunt ni lazima nishibe mzee
Siezi roll na the Big 5 naeza manage alone am Big cat now
welcome to the real life,
ka huezi roar utapigwa ma-missile
Over elected junior-senior sooner
African CatMan so superior
Wamekuwa wakinitreat kama paka
little they had known ntakuwa their hunter
nikiwapata nanguruma on purpose full respect ndio naexpect hapa
Usijione sungura mjanja unataka kunitame utatoka hapa fasta
Nararua hizi mistari mi mnyama imebaki kidogo waniite onyancha