You came and stole my heart like a thief in the night
You are the one that I've been dreaming about
How it felt to be kissed by an angel
Sijampata anayeweza kunivumilia kama we
Na sitataka kubembelezwa na mwingine kama si weh
Nisije nikasahau maneno yote ulioniambia
Usije ukasahau mapenzi yetu