Naskia leo tume lipwa manze
Ingia kwa duka ya liquor store
Nipatie chupa mbili za county
County, jack daniels, barcadi
ATI gang huwaga bad, 18 and over
Ni ma shada na ma shot hakuna soda
Na ikibamba sana dj anagotha
Tukicheza, tukiruka, kwa kona
ATI gang huwaga bad, 18 and over
Ni ma shada na ma shot hakuna soda
Na ikibamba sana dj anagotha
Tukicheza, tukiruka, kwa kona
Unaeza geuzwa, ukikuja na mchezo
Nikishika mic, kazi ni kutema venom
Kryptonite, dame na Dera ama leso
Niku hype, jaba shada na kamnyweso
Hii Nairobi life naipenda kama obsession
Rap athlete nadeserve medal
Vile nawarock ungedhani heavy metal
Nasibongi bike nikisema nazipedal
Ngumu mi ni date, Nairobi ina lessons
Time is money nazisaka by the second
Chapa kazi usidedi na depression
Si lazima rithe akili pia ni weapon
Real from real, first form ni impression, uh
Nipatie shot za county, jacks zote
ATI gang huwaga bad, 18 and over
Ni ma shada na ma shot hakuna soda
Na ikibamba sana dj anagotha
Tukicheza, tukiruka, kwa kona
ATI gang huwaga bad, 18 and over
Ni ma shada na ma shot hakuna soda
Na ikibamba sana dj anagotha
Tukicheza, tukiruka, kwa kona