Kutwa majonzi Kutwa machozii
Moyo simanzi Akafata Mabosi
Ila saizi Raha raha nazopewa Raha
Ingekua ni kesi Ningekata rufaaa
Siwazi Tena kuchitiwa Penzi letu kijani Taaa inang'aa
Penzi Turembe na mishumaa
Furaha wewe wengine siwezi
Usije ukanuna mana me nawe kesho walezi
Ili penzi kiberiti Me ndo njiti
We nizinge tuu na baridi nifaidi raha za jiji
Ila saizi Raha raha nazopewa Raha
Ingekua ni kesi Ningekata rufaaa
Siwazi Tena kuchitiwa Penzi letu kijani Taaa inang'aa