LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Mwendo

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Ndo mwendo wake, mtoto huyo
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Mtoto huyo, ndo mwendo wake
Anatembea anatembea, anatembea mtoto huyo
Anatembea anatembea, anatembea anatembea
Mtoto huyo anatembea

(Verse 1)
Akitaka rasta, nampatia
Akitaka pesa aeke kucha, nampatia
Akitaka iPhone tambo, nampatia
Mjini aonyeshe majigambo, namuwekea

Naona wivu, naona wivu
Ata akiwa peke yake, naona wivu
Naona wivu, naona wivu
Ata akiwa na wenzake, naona wivu

Chorus)
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Ndo mwendo wake, mtoto huyo
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Mtoto huyo, ndo mwendo wake
Anatembea anatembea, anatembea mtoto huyo
Anatembea anatembea, anatembea anatembea
Mtoto huyo anatembea

(Verse 2)
Singida dodoma ma, mtoto hana ngoma ma
Me ndo napona na, kwa mwingine sijaona
Left right, kushoto kulia
Love bite, lazima nitamuachia

Asiependa kujinafasi nani, hakuna
Asiependa kujinafasi nani, hakuna
Asiependa kula mtoto nani, hakuna
Nani asiependa mapenzi nani, hakuna

Naona wivu, naona wivu
Ata akiwa peke yake, naona wivu
Naona wivu, naona wivu
Ata akiwa na wenzake, naona wivu

Chorus)
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Ndo mwendo wake, mtoto huyo
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Ndo mwendo wake, ndo mwendo wake
Mtoto huyo, ndo mwendo wake
Anatembea anatembea, anatembea mtoto huyo
Anatembea anatembea, anatembea anatembea
Mtoto huyo anatembea

Twende twende, twende aah yeeah
Twende twende, twende twende Grrr baaoow
Twende twende, twende Baaaoow
Twende twende, twende twende yah

It’s Kongflows men, baaaoowww
It’s Pluto republic, Heeee Boyyy
KONG Grrrrr, Heeee

WRITERS

SANJA KONG, SADDAM ADAM MSIGWA

PUBLISHERS

Lyrics © Vydia, Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other