LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Sura

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Kong

Ammy

Naliongelea sura langu
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura

Naliongelea sura langu
Susususususu
Naliongelea sura langu
Su su su
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura

Nataka nishoot na video
Naambiwa nipake ma make up
Kama ma babez babez
Kiki ni gigyz gigyz

Niko me napita napita
Kwenye sura zenu insta
Nikikutana na sura baya
Sura langu linasikitika

Let me take a selfie
Let me take a picture
Mitandaoni nikajitupie
Snapchat mpaka twitter

Skipti skiptataa
Pale sura langu likichoka
Siwazimii wakidata kisa sura langu Mimi limewaka Eeeh

Naliongelea sura langu
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura

Naliongelea sura langu
Susususususu
Naliongelea sura langu
Su su su
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura

Sura langu likikata gogo
Linajikunja Sana
Sura langu likiona mademu utanipa lawama
Facebook na Snapchat sura langu linatamba
Sura langu kumbe likinywa pombe linalegea kwamba

Sura Lina tongotongo
Likiwa limeamka
Sura likikosa mchongo
Kutwa tu linanuna

Sura likishazeeka
Makunyanzi yanapeta
Kuna Msura mbaya
Na Kuna Msura mzuri

Naliongelea sura langu
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura langu
Naliongelea sura

Naliongelea sura langu
Susususususu
Naliongelea sura langu
Su su su
Naliongelea sura

WRITERS

Godfrey Masanje

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup IconThumbsdown Icon
Theme

None