Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha niki smile
Ama niko high juu walai zimenice.
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha niki smile
Ama niko high juu walai zimenice.
Ndio msupa atukunywe na mapicha
Social Media sio wote ni wa ma filter
Kuna wengine personally wameivaa
Na bado nyuma unapata amebarikiwa
Ukitupa vibes kawaida wao huringa
Lazima ufike bei ndio ukatike na madiva
Design nimezoza imebaki niitwe E-SIR!
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha niki smile
Ama niko high juu walai zimenice.
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha niki smile
Ama niko high juu walai zimenice.
Na ni kwela mi nataftanga top tier
Mwenye anajiweza anajibeba anajitaftia
Juu bila doh kama story nakukanyagia
Kupanuka atiz alert hauwezi kutulia
Alijichocha nakusema venye ,mi niplayer
After kuparty jana usiku ,manze alinipea
Akona chali , nabado mali inapepea
Kanairo blanda ukicheza tunakuchezea
Peng ting ni sura zingine anaeza adisia
Ma light skin,ndio kidogo mi nachangamkia
Anajitepa, na mi ndio najipulizia
Na ka ni mechi anapenda kucheza na gear
Juu kaa kwela ,mi napenda kuji taftia
Sio lazma bigi ,mi napendanga petite pia
Hawezi zima, ka mzinga anaongeza na bear
Na usipo chunga kama kiti anaeza kukalia
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha niki smile
Ama niko high juu walai zimenice.
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha niki smile
Ama niko high juu walai zimenice.