Osh jina langu refu kama tren
Oh sele man minoo Twende nao
Mi na j Fant hatuuna mambo mengi
Kaka yupo Deben na tayari
Kajichenga tangu enzi zile
Kaka yupo Johannesburg tayari
Kajichenga tangu enzi zile
We kaka lini utarudi Bongo
Maana Bongo hakuna michongo
Ukizidisha usela kuna rondo na kipondo
Ukikosekana unachomwa moto
Na mtaani tukiona form tu mbio
Panya road wakipita wanaacha vilio
Mtaa wa pili utaskia kuna matukio
Hata mbwa anabweka ndani ya uzio
Ana miaka sitini na mbili
Ushamtupa umr anatukatisha tamaa
Ila baba hana habari akirudi
Yupo tungi na mikausho mikali
Akitoka saa kumi na mbili anarudi saa mbili
Ungerudi ungekuja kujionea
Majukumu yanavyo nielemea
Ungerudi ungekuja kujionea
Majukumu ndiyo yanavyo nielemea
Kaka yupo Deben na tayari
Kajichenga tangu enzi zile
Kaka yupo Johannesburg tayari
Kajichenga tangu enzi zile
Kaka mwanao anaenda race kakurithi
Mtaani kila siku zinakuja kesi
Bi mkubwa anampa wasiwasi
Juzi kafosi sizo kwenye geti la polisi
Mwanao sio mstarabu gadhabu
Ana kesi shule kachana vitabu
Siku nyingine analala zake vilabuni
Mama ndivyo alivyo mgonjwa
Hana dawa anakosa matibabu
Kumuomba Mungu amjalie uzima
Muda mwingine analia usiku
Kumuomba Mungu amjalie uzima
Muda mwingine analia usiku
Au ndiyo tunabonyeza reli