Meddy Huncho subiri ngoja Twende Nao
Mtu kwao akikwambia pale ndo kule
Sie kwetu yahaya akisema karibu ndo tule
Na kwetu mtu akikutolea ndula sio bure
Na ukilegeza wanachoma ndula uzile
Kwetu jirani akikuomba chumvi
Kwetu jau akilia nyau vibration ukutani
Kawaida kidemu mapepe kupandisha
Nyumba ya pili Shekhar na mganga awasalimiani
Mimi nimenisurika nili okota kiatu cha baniani
Kwetu ukijifanya umedata wanakudatisha
Ukijifanya umepinda ndo kabisa
Kwetu wezi kuiba simu awakabi
Kwetu sambusa kama kalimati
Kwetu uruhusiwi kuchagua jembe
Usije uka mpimia mtoto mtaani kwetu sisi
Kuna kitu kinauzwa elfu mbili kinautwa okapi
Usije ukaongelea kwetu kuhusu mziki
Kuna watu wana copy beat voice mpaka
Vipi kwenu si kwetu sio baridaaa
Ka copy kapanda mashetani
Uwa napata hasira nibadili floow
Nije na floow gani nabadili
Aujaacha pigo zako za ku Go na return
Mtu kwao akikwambia pale ndo kule
Sie kwetu yahaya akisema karibu ndo tule
Na kwetu mtu akikutolea ndula sio bule
Na ukiregeza wanachoma ndula uzile
Kwetu jirani akikuomba chumvi
Na mtu kwao akikwambia pale ndo wapi vile kuleee