Na MTU kwao akikwambia pale ndo kule
Ebu kwanza subili ngoja twende nao
Si unajua nguvu ya mtu mtaji
Siunajua napambana na force sio ili mradi
Si unajua mumeo mi mtafutaji
Si unajua nikipata nakuleteaga zawadi
Si unajua wanapenda kunijaji
Usije ukapiga mbizi ukazama kwenye maji ukaibukia mbali
Usije ukanitelekeza mumeo
Usije ukafanya nikaamini MANENO yao
Usije kuyapenda maisha ya video
Usije ku loose mana tayari nishakupa vyeo
Usiende kucheza mana miziki yao vimeo
Wazalamo wakanituliza kwa msemo
Ngoja nikupe moja mbili tatu
Usiwasikilize watu mana watu wengine
Roho zao zina kutu Ukiwaona kama watu
Ukiwepo wanakusifu mana mbaya usoni umjui katu
Daima mbele kurudi nyuma mwiko
Usije ukapingana na vya kwenye maandiko
Wanaona gele ukinipikia madiko diko
Ila kwetu sherehee na wakati uliopo
Naweka mabano maesabu magazijuto
Isijekua misuko suko nna mpenzi ghetto
Nawewe usije act vichekesho
Ukaleta vituko kesho nikai miss minyesho
Kama mwanafunzi wa chekechea
Mi nipo takecare sina mapepe
Mi nipo na nazidi kusogea tu
Nna kipaji ila sio mjuaji
Ila nachokijua nguvu ya mtu mtaji
Si unajua nguvu ya mtu mtaji
Siunajua napambana na force sio ili mradi
Si unajua mumeo mi mtafutaji
Si unajua nikipata nakuleteaga zawadi
Si unajua wanapenda kunijaji
Usije ukapiga mbizi ukazama kwenye maji ukaibukia mbali
Mi kachumba kangu kasikivu
Tofauti na kadem cha Steve
Kweli uvumilivu ula mbivu
Kanyonge kama kamesingiziwa
Unajuwa sipendi kujifanya najua
Nataka kujua kipi ambocho bado
Unataka kujua kipi kitamu
Utoe chenji ma ndo nasubiria watoto
Watoto watoto wangu mama watoto
Naitwa twende nao mtu kwao