Kila wiki dinner cbd ama Westie
Bedsitter ukahama tuko kwa suite
Nikashika 6 by 6 so you get better sleep
Na Niko kazi 6 to 6 so can chase your dreams
Na wikendi lazima whiskey na gin
Na uongeze marafiki wako 50
Ukiboeka hadi nikuentertain
Nikikosa suddenly you say you leaving
Hizi jumpers kubwa we Hutoa wapi
Kwanza maja inakaa ka ya jirani
Papa Soul alinipiga warning
Kumbe sahani yangu ni sinia
Lakini penzi limeshazimiaaaa