LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Dunia Ya Haraka

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Nikiimba leo, nani atanisikia
Nikipiga ngoma, nani atacheza
Dunia ya leo huenda mbio sana
Na watu kweli, hawana nafasi
Hakuna yule anataka kusubiri
Hakuna yule anataka kufurahi
Masaa sasa yamekuwa ni pesa
Na sisi tuko kama watumwa
Dunia ya leo haina pole pole
Dunia ya leo haina pole pole
Kukimbia tumekwishazoea mama
Kukimbia tumekwishazoea mama
Nani anajua tunaenda wapi
Nani anajua tunaenda wapi
Ni dunia ya haraka oh
Ni dunia ya haraka oh
Ni dunia ya haraka oh
Ni dunia ya haraka oh
Dunia ya leo haina pole pole
Dunia ya leo haina pole pole
Kukimbia tumekwishazoea mama
Kukimbia tumekwishazoea mama
Nani anajua tunaenda wapi
Nani anajua tunaenda wapi
Ni dunia ya haraka oh
Ni dunia ya haraka oh
Ni dunia ya haraka oh
Ni dunia ya haraka oh

WRITERS

Shyam Shah

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Sadness

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Sexual