LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Maisha Yangu (feat. Moni.b)

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Sun V on the beat
Shanboy yeah
Shishi

Maisha yangu magumu Wala siwazi
Sifikirii
Na Wala sitishiki

Napambana kutwa kucha na sichoki
Nipate nisipate
Ndio yangu riziki

Najua hamnipendi
Hamnitaki
Maisha yangu mwenyewe
Sitaki unafiki

Niacheni nipambane
Riziki yangu nipate
Kesho yangu nitoboe
Niwake

Maisha ni yangu
Napambana nami nipate vya kwangu(Mhhh)
Na Sina nidhamu
Ya uoga kupambana jadi yangu.(Ehh iehh)

Ah kama kurogwa mbona
Tusharogwa sana
Tushateswa sana
Ila Bado tu

Kama ni kufa mbona
Tungekufa ona
Tungezikwa zamani
Ila Mungu

Najua hampendi
Kuniona ninavyo vimba vimba
Hampendi
Kuniona ninavyo ng'aa ng'aa
Hampendi
Kuniona ninavyo toboa
Sio Kwa kutaka Mimi ni baraka zake Baba

Maisha yangu magumu Wala siwazi
Sifikirii
Na Wala sitishiki

Napambana kutwa kucha na sichoki
Nipate nisipate
Ndio yangu riziki

Najua hamnipendi
Hamnitaki
Maisha yangu mwenyewe
Sitaki unafiki

Niacheni nipambane
Riziki yangu nipate
Kesho yangu nitoboe
Niwake

Ma people call me Moni

Hulaaa

Maisha Yangu Nayajua Mwenyewe
Kidogo changu kinanitosha
Hali yangu naijua Mwenyewe
Na Mungu wangu Ananiongoza

Hustle zangu ndio daily zinanilisha
Hata sioni mtu wa kunipelekesha
Kuchoka kwangu wengi nitawafelisha
Wanaonitegemea wako wengi Nyuma

Najua hampendi
Kuniona ninavyo vimba vimba
Hampendi
Kuniona ninavyo ng'aa ng'aa
Hampendi
Kuniona ninavyo toboa
Sio Kwa kutaka Mimi ni baraka zake Baba

Maisha yangu magumu Wala siwazi
Sifikirii
Na Wala sitishiki

Napambana kutwa kucha na sichoki
Nipate nisipate
Ndio yangu riziki

Najua hamnipendi
Hamnitaki
Maisha yangu mwenyewe
Sitaki unafiki

Niacheni nipambane
Riziki yangu nipate
Kesho yangu nitoboe
Niwake

Mix boiii

WRITERS

Olivo Haule

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other