LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

NJIA

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Naona, Naona Mungu iko na shuka
Na ujira wake mukononi

Acha, Acha njia panda wewe
Mimi naifata njia moja, Yesu
Naona, naona Mungu iko na shuka, na ujira wake mukononi

Njia ya giza ni fupi sana
Lakini inapendeza sana
Ô giza nifupi sana
Na tena aifiki mbali sana
Maisha ni mafupi, tuta kufa kesho
Njia ya kweli ni moja yesu

Maisha ni mafupi udongo tuta rudia
Batu bote biko bana ishaka milele
Mbona biko bana enda aba rudiaki milele
Baliji ita ba Mungu baka kufaka milele

Yei yee

Acha, Acha njia panda wewe
Mimi naifata njia moja, Yesu

WRITERS

Shomari Chryzo

PUBLISHERS

Lyrics © SHOMARI CHRYZO

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other