Picture perfect tukae presentable
Mi na wewe tuko compatible
Kwa mawazo wewe ndiwe number moja
Sio vako unanichizisha wewe
Oh I wanna get you on my side
Probably place you on my arms an slide
Napenda vile wewe wasonga
Napenda vile wewe wasonga
Kwa vile nimezama ndani ya mapenzi
Kwa vile nimezama ndani ya mapenzi
Kwa vile nimezama ndani ya mapenzi
Umeni nice kama ile biscuit
Walibonga wakachoka wenye wivu
Walibonga wakachoka wenye wivu
Walibonga wakachoka wenye wivu walinyongwa
Walibonga wakachoka wenye wivu walinyongwa
Napenda vile wewe wasonga
Napenda vile wewe wasonga
Kwa vile nimezama ndani ya mapenzi
Kwa vile nimezama ndani ya mapenzi
Kwa vile nimezama ndani ya mapenzi
Umeni nice kama ile biscuit
Walibonga wakachoka wenye wivu
Walibonga wakachoka wenye wivu