LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Tuma CV

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
[Intro]
Eh eh eh…
Miaka inasonga, bado niko peke yangu
Mapenzi iko wapi? Nimechoka kungoja

[Verse 1]
Wote wanaoa, wengine na watoto
Mimi kila siku, naamka niko solo
Nimechoka kuwa single, nataka wa kweli
Kama uko serious, usijifiche, njoo karibu

[Chorus]
Tuma CV (heh!)
Kama unajiona utanifaa
Tuma CV (sawa!)
Usiogope, moyo uko wazi
Tuma CV (yes!)
Tuongee, tujue kama ni sisi
Tuma CV (eh!)
Labda wewe ndio wa maisha

[Verse 2]
Sitaki mtu wa uongo
Sitaki wa kunichezea
Nataka mtu wa upendo
Wa kushikilia hadi mwisho
Ukijua kupenda kweli
Na moyo wako ni safi
Tuma message, tuma smile
Tuma CV, usikae kimya

[Chorus – Repeat]
Tuma CV (heh!)
Kama unajiona utanifaa
Tuma CV (sawa!)
Usiogope, moyo uko wazi
Tuma CV (yes!)
Tuongee, tujue kama ni sisi
Tuma CV (eh!)
Labda wewe ndio wa maisha

[Outro]
Ee bwana, niko tayari
Usiku na mchana
Nangoja wako wa kweli
Kama ni wewe – tuma CV!

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other