LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Sanam

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Kwako nilishaachia ngazi
Nimehamisha makazi
Nimempata mwingine mpenzi
Anaenikosha

Anayajua malavidavi
Alafu fundi kishenzi
Na tushaapa kwa Mwenyezi
Hatutoachana

Penzi sio kujibana
Raha ya penzi ni kujiachia
So wewe wa kununa nuna
Mwenzako ananichekesha

Uku nanenepeana
Anajua kunikea
Siku hizi stress sina
Ananidekeza

Oooh tazama ulinitesa sana
Leo ona unavyojutia
Kwa zako tamaa
Uliniona sina maana
Pole sana umeshachelewa

Oooh sanam oooh sanam
Kashiho tahagal
Amnepa jateye
Zindegi ka safal

Oooh sanam oooh sanam
Kashiho tahagal
Amnepa jateye
Zindegi ka safal

Ilikuwa kama utani
Sikujua ile siku tungegombana
Ata ulivyosepa nyumbani
Niliona simple
Sikujua kuwa umenuna

Chanzo cha kuachana na mimi
Uliniomba pesa
Nikajibu kuwa sina
Kwani mapenzi jamani
Yana nini yana nini

Ah kwani mangapi ulinitendea
Kwa macho niliona
Ila kwa mate nilimezea
Niliamini ungebadilika

Nikakuta text umetumiwa
Kwa macho niliona
Ndani kwa ndani niliumia
Machozi nilijaza pipa

Oooh tazama ulinitesa sana
Leo ona unavyojutia
Kwa zako tamaa
Uliniona sina maana
Leo ona umeshachelewa

Oooh sanam oooh sanam
Kashiho tahagal
Hamne pajateye
Zindegi ka safal

Oooh sanam oooh sanam
Kashiho tahagal
Hamne pajateye
Zindegi ka safal

WRITERS

Hassani Nassoro Mohamed, Muhktari Bakari Suphian, Adamu Salumu Mshamu

PUBLISHERS

Lyrics © DITTO MUSIC

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other