LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Bankrupt

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Uh, 34 brick
34
Ume chochwa na mbogi, ume round ukaganda

Kazi jo ni kubanja, badala utafte gwala
Ule dem ni demon, sahi boys ako bankrupt
Biz bila corruption, haidai, dai
Ume chochwa na mbogi, ume round ukaganda

Kazi jo ni kubanja, badala utafte gwala
Ule dem ni demon, sahi boys ako bankrupt
Biz bila corruption, haidai, dai
Nishai chai, nishai chai na ndenga mboi

Na bado mbleina ali wika woi
Na kumbe ni kitoy, toy, toy
Msupa ali ni icha na story mboi
Hiyo story ali ni icha ni mboi

Ule oop boy ana bonga most
Na ona umefanya mengi, take a tost
Mbati kwa shingo, na una ringa man
Mess na mi nda kufry kwa pan

We ni mwere boy, wacha ku behave ni ka ukona pussy
We ni pussy boy, unadai ukona ndenga na ni toy
Chorea ma peng madogo, trace size yako
Mi skuli kwako, usoro peleka kwako

Change the root, hizi ends hatu deal na ma pikni
Ati una ni threaten na huna ndenga
Acha nichecke, huu mpoa anadai ku
Ntoka lakini mi mjanja na teveva

Lowkey, ana bonga shit of you
Na the end anadai, nyi ni ma homie
Bonga mingi, utastukia ki headshot
Pow, pow, washa kiforeign

Hatudai ma local shit, stories zako akidai
Go take a shit, unadai mbogi ni dead
Na ime chrome, ma batty boy, tulia bro
Mbona unabanja mingi, unaroll na ma local kicks

Si tu na roll na matimba man ukidai
Asset, manze unafika
Nishai chai, nishai chai na ndenga mboi
Na bado mbleina ali wika woi

Na kumbe ni kitoy, toy toy
Msupa ali ni icha na story mboi
Hiyo story ali ni itcha ni mboi
Nishai chai, nishai chai na ndenga mboi

Na bado mbleina ali wika woi
Na kumbe ni kitoy, toy toy
Msupa ali ni icha na story mboi
Hiyo story ali ni icha ni mboi

Mbleina alibuya streets, aligeuka mnisa
Mi ni ule gwash ndafanya ukimbie kanisa
Ka kuna ngori, uko lembe, already nisha inusa
Manze uski, sijadoz, wiki mzima

Nikopika pika za, kujisunda sunda
Running from the feds, NFS
You know that's on our hood, nigga get this paper
Manze na feel lately, nimeji anika

Nilirau ki foreign, waka babaika
Waka lalamika, ati gwash zima
Hii hii ni heavy sana
Kidungi ndani ya pori, pia ni nzito sana

Shosh huni piga ma, ombi kwa sana sana
So mina street hatujawai kosana
Hallelujah Hosanna sana
Thigitha mambaru design, ya Osamo sama

Try kuni double cross, tuta kosana
Tuta patana, nda kuganda
R.I.P. my nigga Obama
Ume chochwa na mbogi, ume round ukaganda

Kazi jo, ni kubanja badala
Utafte gwala, ule dem ni demon
Saa hii boyz ako bankrupt
Biz bila corruption na haidai

Nishai chai, nishai chai na ndenga mboi
Na bado mbleina ali wika woi
Na kumbe ni kitoy
Msupa ali ni icha na story mboi

Hiyo story ali ni icha ni mboi

WRITERS

Amos Mutuku, Jayden Odongo

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Anger

Sentiment
Thumbsup IconThumbsdown Icon
Theme

Race and ethnicity