LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Deka (feat. Pichichi)

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Mtoto tamu tamu tende ladha yake
Ulimi pili pili kwa mumasho wake
Yaninisha data kwa uzuri wake
Asali sikinai kwa utamu wake

Mapenzi ni ufundi na ujuzi juzi
Tetema tuzikaze hizo nyuzi nyuzi
Usisikie maneno ya wapuzi puzi
Tabia ya kunusa kama mbuzi buzi

Mkono wa kupapasa kinanda
Mizuka Ishanipanda
Sima neno moja unanipenda
Yani kama ruba ta kuganda

Ah ah ah ah
Mwenzio nakupenda
Ah ah ah ah
Usije Ukanitenda
Ah ah ah ah
Mwenzio Nakupenda
Ah ah ah ah
Usije uka nitenga

Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze mama
Nayaweza

Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze mama

Mapenzi utoto
Deka lia nitakubemeleza
Mapenzi zawadi
Nibusu tu nitaridhika
Nieleze kiasi gani
Moyoni mwako unavonipenda
Mapenzi ni swali
Jibu kwako nishalipata

Hilo jicho komamanga
Nita kufa kwa upanga
Njoo tucheze charanga
Ukichambua kama karanga

Ah ah ah ah
Mwenzio nakupenda
Ah ah ah ah
Usije Ukanitenda
Ah ah ah ah
Mwenzio Nakupenda
Ah ah ah ah
Usije uka nitenga

Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze mama
Nayaweza

Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze
Deka ni kudekeze mama

Uje

Uje





.

WRITERS

Justin Felix

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other