Body limejitenga kiuno chako
Karangi ka chocolate baby
Ndo kanakonifanya ni send
Vinoti vyangu na vichenji
Kichwa kinapagawa uki bend
Na unipe kwa mbele mbele baby
Nikipenda sina chepele baby
Karangi ka chocolate baby
Ndo kanakonifanya ni send
Vinoti vyangu na vichenji
Kichwa kinapagawa uki bend