Our celebrations mioyo yetu
Tumetimiza baby tumehitimisha mpenzi
Zile comptations na maneno ya wanadamu
Yote kumi tisa lady unanipenda kweli
Medula mutimaa unajua umenimwagia
Na huba isije wakavuruga chondee
Sometime I feel the most baby
Mwangaza wangu usiku na mchana
You don't have to leave my darling
You won't have to leave my baby
Na sitoi nanga nimeshazamaaa
Nini umenifanyia nahis nahisi umenichanjia
Kama ni Mganga basi umempata
Medula mutimaa unajua umenimwagia
Na huba isije wakavuruga chondee