LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nimempata

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
ccha niwaambieni jamani
Nimempata mpya kijana
cnilisha tembele ni nyama ni nyama kwa nyama

ccha niwambieni jamani
Huyu wa sasa amenichanganya
ckikosea nitabeba lawama
Lawama mh...

It's okay it's okay
mi kwake wala sina maneno
Kama moyo akiuvunja mi mwenyewe nitauganga

I don't care i don't care nizikwe nae hata kwa shimoo
Ukweli mi nishampenda mbali nae sintokwendaa oooh no

Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata


Baby when touch my body
Nakuaga mdogoo
Kabisa kabisa napozaa
Humo humo
Humo humo

Simama nami kilindoni kilindoni
Sihitaji tufike mwishoni
Nikikosea am sorry?

Kwanini tuwe mafichoni
Mafichonii
ccha watuone wapinzaniii
Unaona..

It's okay it's okay
mi kwake wala sina maneno
Kama moyo akiuvunja mi mwenyewe nitauganga

I don't care i don't care nizikwe nae hata kwa shimoo
Ukweli mi nishampenda mbali nae sintokwendaa oooh no

Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata
Pata nimempata

Nimemptai eh patia oh
Pati uwoo nimempatiaa aah

PUBLISHERS

Lyrics © Royalty Solutions Corp

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other