Hawata hawataweza kukupenda
(So Fresh is on the beat)
Do you have to be this way?
From all the promises we made
All the loving that we gave
Listening to he said and the she said
Niamini nakupenda ni wewe tu
Wakusema watasema, usiku watalala
Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda
Amini hata dunia itashindwa na cha kusema
Na wakisema ni mapema, kupenda tunavyopendana
Tutaishi kama Romeo na Julia kwa Cinema
The city's full of haters
Wakutupiga asunder oh they wanna break us
Cause when we say ni forever, ni vow tunaweka
Let us go down in history, baby
Niamini nakupenda ni wewe tu
Wakusema watasema, usiku watalala
Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda
Amini hata dunia itashindwa na cha kusema
Na wakisema ni mapema, kupenda tunavyopendana
Tutaishi kama Romeo na Julia kwa Cinema
They wanna break your heart
Wakuwache na maswali bila jibu
They wanna break your heart
Wakuwache na maswali bila jibu
They wanna break your heart
Wakuwache na maswali bila jibu
They wanna break your heart
Wakuwache na maswali bila jibu
They wanna break your heart
Wakuache na maswali bila jibu
Hawataweza kukupenda, vile ninavyokupenda
Amini hata dunia itashindwa na cha kusema
Na wakisema ni mapema, kupenda tunavyopendana
Tutaishi kama Romeo na Julia kwa Cinema.
WRITERS
Catherine Chege, Faith Langat, Lena Odhiambo, Mark Gathariki, Mellina Misoi, Mordecai Mwini, Samuel Mwangi