LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Rhumba Live

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
The next song we are doing is Rhumba
This song was our very first big song,
We had Unioshe before but then Rhumba was received astronomically well
Rhumba will always be our baby number one


My love
I want you
My love
I need you
Every time
I see you
(Inadi club)
Every time
I see you
(Oooh you light it up!)


Naomba nafasi mi nicheze na we
Njoo karibu, usinicheki toka mbali
Hatujuani, but tonight you could be my bae
Songa nami, hii form imekubali


Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana
Usiogope nipe macho yako
Ana kwa ana


Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana
Usiogope nipe macho yako
Ana kwa ana


Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kesha
Sakata Rhumba
Wachilia pressure
Tutacheza hata kama hatuna pesa


Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kesha
Sakata Rhumba
Wachilia pressure
Hatujui kama tutaonana tena


Napenda unavyong'aa kama taa
Hapa we ndio star
You've got me feeling things that I can't explain
Tu vitu, Ma vitu
I think I'm falling for you just a little


Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana
Usiogope nipe macho yako
Ana kwa ana


Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana
Usiogope nipe macho yako
Ana kwa ana


Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kеsha
Sakata Rhumba
Wachilia pressure
Tutacheza hata kama hatuna pеsa


Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kеsha
Sakata Rhumba
Wachilia pressure
Hatujui kama tutaonana tena


Vunja mifupa, kaza mshipi na tuzikwende
Tukizunguka, kaende, kaende
Teremka, kata kiuno jionyeshe
Inuka, Inuka


Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kesha
Sakata Rhumba, achilia pressure
Tutacheza hata kama hatuna pesa


Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kesha
Sakata Rhumba, achilia pressure
Hatujui kama tutaonana tena

WRITERS

Faith Langat, Lena Odhiambo, Mbari Gathariki, Mellina Misoi, Samuel Warui, Waithera Chege

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other