This is a Prayer,So kabla Sijaanza tusamehe
Naomba muda wako Utuombee
Si ulisema yakitushinda Kando yako tusongee
Sawa Baba mtoto wako Nimefika tuongeee
Kuongea nao tume try sisi
Maandamano pia tume try Ya peace
Ila wapi ni vita ni kambe Tuko Isis
Mtaani kuna njaa Hatujapata ata kiduchu
Unga ya Pablo ndo Wanauza uku
Wamepandisha bei mpaka Sukari ya Zuchu
Badala wa legalize Mary Jane
Kwenye bunge wako busy Story ni ya Mary na Jane
Utuchape utusamee Usituletee hurricane
Maana ulileta mvua ikawa Shida imagine
Next thing utaskia kuna Shida ya maji
Alafu MCSK yakadhamiza Vipaji
Ufisadi alafu tukimuita Nurjin Haji
We pekee ndo unaeza Tutetea
Viongozi wamekua miba Hatuezi wategemea
Tax payer analia tax fair
Wamezidi wameongeza Mpaka tax kwenye fare
Duuh chukua huyu Mungu Tupe gadafi
As a nation tumepotea Hatujui twaenda wapi
Twacheka tu lakini deep Down we ain't happy
Duuh ilipofika hapa ni Noma
Mwambie yesu ashuke watu wanagoma
Na asikuje kama mwizi Anaeza chomwa
Na umkumbushe ako na Compee ya yesu wa Bungoma
Ma youths wanakufa Generation imekua so sick
Ila kichaka kimepatwa na Zakayo
Eti free education wanadai Turudi shule
Izo school fees bora watupe Tule
Soma kwa bidii pata degree Tafuta kazi
Ndo utajua elimu ya Kenya Ni buree
Wasomi ndo wanapiga Watu ngeta
Alosoma aviation ako busy Aviator
Alafu mjinga bila papers Ndo anachaguliwa senator Yani
Tuki support ujinga Wanatuita maarif
Tukiungana kuwapinga Wanatuita wahalifu
Fake promise waeza dhani Ni kizungu ya waititu
Watasema walikulisha na Walikuwahi tea tuu
Gurudumu la maisha Hatuezi skuma lime burst
Akuna wakutusaidia bora Tu utuketee christ
Ili ni jangwa ka corona Alafu second phase
Ka ni madhambi tumefanya Basi twa confess
Ata I wish tungeongea basi Face to face
Mungu baba ino apa ndo ile Second press