Kuna muda mi' nashindwa, aah
Kufanya vitu vingi kwako natamani kutimiza, mmh
Ila moyo unajua jinsi gani 'navyotaka kwenda sawa na wewe
Ila moyo unajua jinsi gani 'navyotaka kwenda sawa na wewe
Na usione ka' navunja yako heshima
I be thinkin' 'bout you all day
Na usione nadharau sababu ya jina
I be thinkin' 'bout you all week, baby
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Nikipata umepata baby tunakwenda juu
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Nikipata umepata mama tunakwenda juu, baby (juu, baby)
Upande wetu ndio muhimu, mmh
Kuwa pamoja mi' nawe, yeah
Kila wajua nafsi yangu (unayo wewe)
Na kila kitu changu (chako wewe)
Naumia, naumia Vanessa Mdee
Na usione ka' navunja yako heshima, yay (yay, yay)
Na usione nadharau sababu ya jina, yay (yay)
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Nikipata umepata baby tunakwenda juu
Aah, aah, aah, aah (oh, baby)
Nikipata umepata mama tunakwenda juu
Nikipata umepata mama tunakwenda juu, baby (juu, baby) (oh, yeah, aah)
Oh, mamamia nakupenda Juma we'
Ukiniacha nitalia, eeh, yeah
Forever me and you, you, you, you
Everything we do, do, do, do
You're my baby, boo, boo, boo, boo
It's just me and you, you, you, you
Forever me and you, you, you, you
Everything we do, do, do, do (yeah, yeah, yeah, yeah)
You're my baby, boo, boo, boo, boo (yeah, yeah, yeah, yeah)
It's just me and you, you, you, you (yeah, yeah, yeah, yeah)
I'm thinkin' 'bout you, you, you, you
Everything you do, do, do, do
Only 'bout you, you, you, you (aah, aah ,aah, aah)
Oh my baby, you, you, you, you
I'm thinkin' 'bout you, you, you, you (aah, aah ,aah, aah)
Oh my baby, boo, boo, boo, boo
Only 'bout you, you, you, you, you, you... (aah, aah ,aah, aah)
Nikipata umepata mama tunakwenda juu, baby
Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilike)
Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilike)
Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilike)
Yeah, yeah, yeah, yeah (usibadilike)