Tukiwa mtoko me nashindwa cha kufanya
Katoto kana shine mpaka kwa giza
Nimesha verify kanimaliza
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda
Vibunda nishavichanga changa
Mwisho wa siku unaniongopea
Sema nifanye nini ili nikupate
Katoto kana shine mpaka kwa giza
Nimesha verify kanimaliza
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda
Sina maneno mengi zaidi ya kukupenda