LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Kamote

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Ayee
Walisema mtaka cha mvunguni ainame
Kitanda cha mapenzi kuna wengi wameinama
Sababu ya mapenzi ameuza hata gari lake
Sababu ya mapenzi amepeana hata ploti yake
Sababu ya mapenzi hata pesa zake anapeana zote
Sababu ya mapenzi amechizi hospitali mathare
Kali sana
Kwangu mimi lazima hesabu nitaifanya
Mapenzi ya hasara mimi siwezani nayo
Kwanza kama sina pesa mimi huwa sina hamu
Mapenzi ya hasara mimi siwezani nayo
Ayeyaa
Oyayaa
Omaamaa
Hata uweke kamote
Oh yayaa
Huniwezi na kamote
Oh my
Hata ukalie chapati
Oh lala
Huniwezi na chapati
Oh my
Hata uweke kamote
Oh yaya
Huniwezi na kamote
Oh my
Hata ukalie chapati
Oh la la
Huniwezi na chapati
Hiii
Nitabaki ninapenda jinsi mimi ninataka
Vitex studio
Kama roho imeshakupenda ni wewe tu
Kama roho imekataa pia ni sawa tu
Hakuna haja ya kulazimisha upendwe
Hakuna haja ya kulazimisha upewe tu
Oh my
Oyayaa
Hata uweke kamote
Oh my
Huniwezi na kamote
Oh la la
Hata ukalie chapati
Oh my
Huniwezi na chapati
Oh my
Hata uweke kamote
Oh yaya
Huniwezi na kamote
Oh my
Hata ukalie chapati
Oh la la
Huniwezi na chapati
Haai
Nitabaki ninapenda jinsi mimi ninataka
Mapenzi hayalazimishwi
Mambo ya vitex ni mazito
Kinde moro donge nawuotho
Kabiro manyi
Kinde moro donge nabayo
Kabiro dwari
Kata koth goya
Tabiro manyi
Kata jajuok buoga
Tabiro dwari
Mano adwaro love
Sababu ya mapenzi
Unatembea hata kwa giza
Bila torch
Na unaona tu
Kinde moro donge nawuotho
Kabiro manyi
Kinde moro donge nabayo
Kabiro dwari
Kata koth goya
Tabiro manyi
Kata jajuok buoga
Tabiro dwari
Aii
Kama uko solo tafuta penzi yee
Kama uko solo tafuta penzi babaa
Kama uko solo tafuta penzi yee
Kama uko solo tafuta penzi mamaa
Mbona uko solo na mko wengi yee
Tafuta mwenzako kamata penzi baa
Tafuta mwenzako kamata penzi mamaa
Kamata penzi kamata
Kamata penzi kamata
Kamata penzi kamata
Kamata penzi kamata
Kamata yeye
Suba suba suba
Hiiii
Vitex studio

WRITERS

Vitalice Ochieng

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

LyricIQ Analysis

Top Emotion

Enjoyment

Sentiment
Thumbsup Icon
Theme

Coarse Language