Maisha yangu yanawewe mungu
Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka
nitakusifu wewe tu nanitakutuza
magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
Gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana
Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbii ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, umenibariki
Ni wewe unanitoa dhambi (only you)
Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe
Mawazo tuliyonayo nafaham naweza kujiona watakatifu
Ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu tu
Jinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele
Yeye anaponyaa, anaokoa halo halo halo
Kwangu ni mwaminifu huyu yesu
magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
gongo Lako na fimbo yako vinanifarijii bwana
Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbi, ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, ukanibariki
Hakuna kama wewe (Only you)
Nitang'ang'ana na wewe (Jesus)
Ni wewe pekee yako tu (my God)
Baba wa huruma ehh (Jesus)
Mwingi wa rehema ehh (Only you)
Hakuna kama wewe (My God)
Mwenye kutoa buree (only you)
WRITERS
JOAKIM BERG, MARKUS SEPEHRMANESH, MICHEL FLYGARE, PETRA MARKLUND, TOBIAS JIMSON
PUBLISHERS
Lyrics © CTM Outlander Music LC, BMG Rights Management, Universal Music Publishing Group, Sony/ATV Music Publishing LLC, Warner Chappell Music, Inc.