Siwezi Rudia Matapishi Matapishi
Ye si alincheat ckafanya nikaumia
Namchezaji nkawa shabiki Ee Shabiki
Wenzangu wanacheza mi nabaki naumia
Hasara Roho Pesa ni Makaratasi
Nachotaka kukwambia me sikuchukiii
Sina ubaya na wewe wala kisasi
Nakuachana na wewe wala sijutii
Huenda haikupangwa haikuwa yangu ridhiki
Njegeleee Njegeleee Njegelee Njenjee Njegele Njegele

Mmh Hali yangu nitapambana na Hali yangu
Oooh Hali yangu napambana na Hali yangu
Hari yangu nitapambana na hali yangu
Ooh Hali yangu napambana na hali yangu