Umezidisha sifa mpaka umenioa vibaya
Style za singeli nacheza nyimbo za choir
Umeninyima lifti Uncle una roho mbaya
Kivua vina tumbu kama ume expire
Cheki mwili mzima umejichoraa tattoo
Unawadhaurizi mchuna ukapata nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
Watasema eeh eeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi, naomba muelewe
Huendi mbinguni (Ye ye ye ye)
Huendi mbinguni (Ye ye ye ye)
Ndo ushafelii ehh (Huendi mbinguni)
Huo ndoukweli eeh (Huendi mbinguni)
Ndo ushafelii (Huendi mbinguni)
Ati unakula bia, na kwenu haujajenga
Achanga urwambi urwambi una culture pewa
Posa haijafika unamsnitchi mshenga
Shepu sio yako, ume edit pic (Aiyee iyaya)
Mtumishi unasinzia ibadani
Unatia uwongo mpaka msibani
Nikiwa serious unafanya utani
Unanibeep alafu haupatikani (Yeah)
Cheki mwili mzima umejichoraa tattoo
Unawadhaurizi mchuna ukapata nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
Watasema eeh eeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi, naomba muelewe
Huendi mbinguni (Ye ye ye ye)
Huendi mbinguni (Ye ye ye ye)
Ndo ushafelii ehh (Huendi mbinguni)
Huo ndoukweli eeh (Huendi mbinguni)
Ndo ushafelii (Huendi mbinguni)
PUBLISHERS
Lyrics © O/B/O DistroKid, Sony/ATV Music Publishing LLC, Warner Chappell Music, Inc.