Young Prince Again Phonce on the beat fire
Ehee tulio soma nao for now
Sitaki kukufuru mollah ila
Kila siku picha Yangu ya sura
Negative to my expectation
Nazidi omba duwa Mungu Anipe Bora ata Keshoo
Sio kwamba sijitumi na hustle Day night
Kipini tafanya i don't rich of my Target
Lakini ndo pesa ya studio inagoma
Hakuna chaku bakina na mdomo kushona
Sio kwamba sijitumi na hustle
Lakini wapi vipi ama niende freemason apanitaki pia now
Nachongoja nione yangu kesho
Ehh Mollah Maestro of life