Hakuna pa afadhali kila naposhika nadoda
Dhoofulhali naimudu vipi hali
Namiliki kiswaswadu sina hata vocha kamba imekaza ngangarii
Kunamengine yanauma najikaza tu
Huruma naipata wapi nalia nayangu nafsi
Labda niseme fungu langu bado miee
Ama niheme yanini mwisho nijifie
Nilichofunzwa ukimya ninyamaze nkisemwa aah
Chamtu mavi nikiona nisitamani sio chema aah nipambane sio kushindana
Kukosa sio kilema mtoaji ni rabana
Sijachoka bado,Sijachoka bado
Sijachoka bado,Sijachoka bado