LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Nadeka

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
(Kassu)

Umenifunga kitanzi, na mwili wote umekufa ganzi,
Yote ni furaha ya mapenzi, nikikukosa nita'dead,

Na nyuma niliteswa na maradhi, na we umeniponya dakitari,
Na we ndo tiba yangu mupenzi, unayejua maana ya mapenzi,

Na pale lips zikigusana, hisia macho kutazamana,
We ndo baby baby, we ndo sweet sweet,
Nikuite jina gani mpenzi,

Niambie!

Maana..

Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka

#INSTRUMENTAL

Oh mpenzi we, unanifanya naringa,
Natamba kila siku, yaani wakati wote
Nikupe nini we, ama hii dunia,
Nikupe moyo wangu, utawale wote,

Na kama mapenzi ni uchizi (nidate mazima)
Au kama mapenzi kambakamba (nifungwe mazima)

Na pale lips zikigusana, hisia macho kutazamana,
We ndo baby baby, we ndo sweet sweet,
Nikuite jina gani mpenzi,

Niambie!

Maana..

Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka
Nade.. Nadeka

#INSTRUMENTAL

(Kassu)

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other