Mi niko tayari Clinic kuongozana
Mi kama kijana bora inawezekana
Ndoa za utoto kwa umri mdogo (Inawezekana)
Na kupata elimu ya Afya ya Uzazi
Kwamba wanawake ndo wanaweza shiriki (pekee)
Afya ya Uzazi, hata wanaume tunaweza shiriki
Kwamba wanawake ndo wanaweza shiriki Afya ya Uzazi Hata wanaume tunaweza shiriki
Jikubali pata elimu ya Afya ya Uzazi
Amua leo anza sasa kama kijana (jikubali) inawezekana
Heyy yeee iyyyee yeee lele!!